
Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa binadamu hasa kwa watoto na kina mama wanaoteseka kutokana na vita na migogoro. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Infantino alisema: “Sote tunajua kwamba tunaishi katika ulimwengu uliogawanyika, ulimwengu mkali,…