
Simba Ushindi wa ugenini si bahati, ni uthibitisho wa ubora
“Ni kweli, mijadala ipo—Simba haikucheza soka la kuvutia sana dhidi ya Gaborone United, lakini bado ikaibuka na ushindi. Wapo wanaoona kama ni dalili za udhaifu, lakini kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kutoa hukumu ya haraka. Kwanza, Simba walikabiliana na timu bora ambayo ilikuwa imepumzika na kujiandaa kikamilifu kwa mechi hiyo. Pili, Simba wamekusanya…