JOSÉ MOURINHO ARUDI BENFICA KAMA KOCHA MKUU

Baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Qarabağ, Benfica imefanya uamuzi mkubwa kwa kutengana na kocha wake mkuu na kumrejesha gwiji wa soka, José Mourinho. Kwa mujibu wa taarifa za ndani zilizoripotiwa na Fabrizio Romano, Mourinho amekubali ofa ya Benfica, kwa makubaliano ya mdomo yatakayomuweka pale hadi Juni…

Read More