TOTTENHAM, REAL MADRID, PSV… SHINDA LEO NA MERIDIANBET!

Hatimaye ule usiku ambao ulikuwa ukisubiriwa na watu wengi Duniani umefika sasa. Si mwingine bali ni usiku wa mechi za Ligi ya Mabingwa ambapo leo wababe 6 watashuka dimbani kusaka ushindi. Wewe saka maokoto na Meridianbet.

SL Benfica watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Qarabag FK ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa ODDS 12 kwa 1.25. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana kabisa, hivyo leo hii ni siku ya kila timu kumuonesha mwenzake ubabe. Je nani kuondoka na ushindi kule Ureno?. Jisajili sasa.

Moto utawaka katika dimba la Allianz, kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya Juventus vs Borussia Dortmund ya kule Ujerumani. Kwenye mechi 4 za mwisho kukutana kwenye mashindano yote ikiwemo mechi za kirafiki Juve ameshinda tatu na Borussia kashinda moja tuu. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.00 kwa 3.90. Beti hapa.

Pesa nyingi zipo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Arsenal watakuwa ugenini kusaka nafasi ya ushindi dhidi ya Athletic Bilbao kutoka kule Hispania. Nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet wamepewa The Gunners wakiwa na ODDS 1.85 kwa 4.70. Je nani kuanza vyema leo kwenye usiku wa Mabingwa Ulaya?. Bashiri hapa.

Wakati huo huo katika dimba la Philips Stadion, PSV Eindhoven watamleta kwake Union St. Gilloise ya kule Ubelgiji ambao kwenye msimamo wa ligi yao wapo nafasi ya 1. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 2. Zinakutana timu ambazo zote zinafanya vyema kwenye ligi zao. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 1.95 kwa 3.85. Tandika jamvi hapa na Meridianbet.

Unaweza kubashiri mechi ya Tottenham Hot Spurs dhidi ya Villarreal huku timu hizi zikiwa zina muda mrefu kabisa kukutana huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu wa 2010 kwenye mechi ya kirafiki ambapo Spurs alipasuka. Leo hii ni mechi ya Ligi ya Mabingwa huku kila timu ikitaka ushindi. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 1.90 kwa 3.95. Bashiri sasa.

Pia  Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kumenyana vikali dhidi ya Olympique Marseille ya kule Ufaransa. Vijana hawa wa Xabi Alonso wanahitaji kuchukua taji hili kwa kuanza vyema siku ya leo. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa Real kwa ODDS 1.40 kwa 7.20. Suka jamvi hapa.