
USIKU WA MASTAA NA INFLUENCERS: AMARULA YAZINDUA BURUDANI YA KIFAHARI
Jumapili, tarehe 7 Septemba 2025, jiji la Dar es Salaam liliwaka moto kwa shangwe na hadhi ya kipekee pale Amarula ilipopanga tukio la kifahari la “Amarula Sundown Sessions” katika hoteli ya Delta Hotels. Hii haikuwa sherehe ya kawaida. Ilikuwa ni tukio la mwaliko pekee, lililokusanya mastaa wakubwa, watu mashuhuri, influencers, na tabaka la juu la…