Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet tunaanganzia timu ambazo zimefanya usajili wa pesa pale LALIGA, EPL, BUNDESLIGA, LIGUE 1 pamoja na SERIE A. Na je kwako unaona ni usajili upi utaenda kufanya vizuri kwenye dirisha hili la usajili la 2025/26?
BUNDESLIGA kule Ujerumani wababe wa ligi hiyo Bayern Munich wao msimu huu baada ya kuachana na baadhi ya wachezaji wao kama Leroy Sane na wengine waliona haja ya kuimarisha kikosi chao ili kuweza kutetea mataji mengi msimu ujao. Bayern walimsajili Luis Diaz kutoka Liverpool kwa dau la £70M, huku akifuatiwa na Quansah ambaye alijiunga Bayer Leverkusen kutoka Liverpool kwa dau la £ 35M.
Diaz ambaye ni raia wa Colombia ni mchezaji ambaye ana uwezo mkubwa sana na ameanza vizuri Bundesliga ambapo mpaka sasa amepachika mabao mawili kwenye mechi mbili alizocheza. Je mshambuliaji huyo anaweza kufikisha mabao mangapi msimu huu?. Na atafanikiwa kuchukua makombe mangapi akiwa na wababe hawa wa Ujerumani?. Meridianbet ni sehemu pekee ambayo uatapata machaguo zaidi ya 1000. Ingia na usuke jamvi sasa.
Maokoto mengi yapo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
SERIE A kule Italia nako timu mbalimbali zilipambana kufanya usajili mkali kwaajili ya msimu huu ambapo klabu ya AC Milan ndio imetumia pesa kubwa kufanya usajili wa Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa dau la £ 37M, lakini pia klabu hiyo ilitumia £36M kumsajili Jashari kutoka Club Brugge.
Nkunku alisajili na The Blues kutoka RB Leipzig akiwa kama mfungaji bora kule Bundesliga lakini kutokana na majeraha ya hapa na pale wababe hao wa London walishindwa kuendelea naye msimu huu ndipo wakamruhusu atimkie jiji la Milan.
Je Nkunku ambaye ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa ataweza kuchea mechi ngapi ndani ya AC Milan?. Na je klabu hiyo msimu huu inaishia nafasi ya ngapi?. Unaweza kubashiri chaguo hizo ndani ya Meridianbet sasa.
Kule Uingereza yaani EPL ambapo klabu ambayo klabu nyingi zimefanya usajili wa wachezaji mbalimbali, lakini klabu ya Liverpool ndio ambayo kwenye dirisha hili imevunja rekodi kwa kuwa ndio timu ambayo imesajili mchezaji ghali kabisa kuliko timu zingine. Mchezaji huyo ni Alexander Isak kutoka Newcastle United ambaye amesajiliwa kwa £150M. Isak anakuwa ndio mchezaji ghali zaidi kwenye historia ya EPL akifuatiwa na Florian Wirtz ambaye alisajiliwa kwa dau la £ 125M.
Mshambualiaji huyo raia wa Sweeden atavaa jezi namba 09 pale Anfield chini ya kocha mkuu Arne Slot ambaye malengo yake msimu huu ni kuchukua mataji yote ambayo watashiriki. Je Alexander atapachika mabao mangapi msimu huu?. Bashiri na Meridianbet mechi zote hapa.
Tukija pale Hispania ambapo kwenye LALIGA timu ambayo imesajili mchezaji kwa fedha nyingi kupita timu nyingine ni Real Madrid ambao wao mapema kabisa walimsajili Dean Huijsen raia wa Taifa la Uholanzi, kutoka kule AFC Bournemouth ambapo alicheza kwa mwaka mmoja msimu uliopita. Dean alisajiliwa kwa £63M, ambapo anayemfuata ni Carrares ambaye nae anakipiga hapo hapo Real yeye alichukuliwa kwa £50M.
Huijsen ni beki ambaye alivutia sana vilabu vingi, lakini yeye alichagua kuwa ataungana na mabingwa hao wa Ulaya. Je mchezaji huyo ataonesha kiwango cha kumshawishi Xabi Alonso?. Na je Real baada ya kuanza vyema ligi kwa kushinda mechi zake 3, ataweza kuwa bingwa msimu huu?. Endelea kujisajili na mabingwa ubashiri Tanzania Meridianbet.
LIGUE 1 kule Ufaransa napo ni wababe wa ligi hiyo PSG ndio waliofanya usajili wa pesa nyingi ambapo walimsajili Zabarnyi kutoka AFC Bournemouth kwa dau la £63M . Mchezaji huyo alifanya vyema akiwa kule Uingereza hivyo Luis Enrique aliona kuna haja ya kumuongeza kikosini mwake. Vilevile ni wao walitumia £40M kumsajili Chevalier kutoka Lille.
Paris Saint Germain msimu uliopita walifanya vyema sana baada ya kuchukua makombe manne ikiwemo taji la Ligue 1, UEFA, UEFA SUPER CUP, na Coup de France huku wakiwa na wachezaji wenye vipaji vikubwa akiwemo Dembele, Hakimi, Desire na wengine wengi. Je klabu hiyo msimu huu itachukua makombe gani?. Mechi nyingi za kubashiri zipo Meridianbet.