MERIDIANBET YAZINDUA PROMOSHENI YA KIPEKEE – SHINDA SAMSUNG A25 KUPITIA AVIATOR

Katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri, ushindi hauishii tu kwenye pesa, sasa unakuja na zawadi za kifahari. Mabingwa wa ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wamezindua promosheni kabambe inayowapa wachezaji nafasi ya kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, Aviator si mchezo mpya kwao. Unahusisha…

Read More