CAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Waamuzi, Désiré Noumandiez Doué, kwa makosa yaliyofanywa katika Kombe la Afrika la Wanawake. Haya yanajiri baada ya Shirikisho la soka la Morocco (FRMF), kuwashutumu Waamuzi akiwemo Mukansanga Salima na Umutesi Alice kwa kuchezesha isivyo Fainali ya Kombe la Afrika kwa Wanawake. Mukansanga Salima…

Read More

MSHAMBULIAJI WA MABAO JONATHAN SOWAH NI MNYAMA

RASMI Simba SC imemalizana na mshambuliaji wa mabao Jonathan Sowah ambaye alikuwa mali ya Singida Black Stars na sasa atakuwa mali yao. Ikumbuwe kwamba Julai 31 2025 Simba SC ilitambulisha wachezaji wawili wapya ambao ni Morice Abraham alitambulishwa ndani ya Simba SC Julai 31 2025 na Hussein Daudi Semfuko alitambulishwa Simba SC, Julai 31 2025 kuwa…

Read More

Yanga SC Yamtambulisha Andy Bobwa Boyeli!

Klabu ya Yanga  imemtambulisha rasmi mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kama mchezaji mpya wa kikosi hicho kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Sekhukhune United ya Afrika Kusini, ukiwa na kipengele cha kununuliwa kabisa mwishoni mwa mkataba. Boyeli anasifika kwa uwezo mkubwa wa kufumania nyavu na alijizolea umaarufu mkubwa msimu wa 2022/23 akiwa na…

Read More