
CHELSEA YAMNASA ALEJANDRO GARNACHO KUTOKA MANCHESTER UNITED
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46. Garnacho mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba wa miaka 7 utakaomuweka Stamford Bridge hadi mwezi Juni mwaka 2032. Nyota huyo kijana ambaye ameibukia kwenye kiwango cha juu akiwa…