Ushindi mkubwa unaweza kuja kwa namna zisizotarajiwa, hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni. Kwa dau dogo la TZS 3,055/= amejiwekea historia kubadilisha kiasi hicho kidogo kuwa TZS 14,996,310/= Yote haya yalifanikishwa kwa urahisi kupitia USSD ya Meridianbet, ikithibitisha kuwa umakini na mikakati sahihi inaweza kubadilisha maisha.
Huduma ya USSD imekuwa suluhisho rahisi kwa wachezaji wengi. Mshindi huyu aliweka dau lake kwa kupiga tu *149*10# hakuna haja ya intaneti ya kasi au simu za kisasa. Kwa njia hii rahisi, alibashiri mechi nane za mpira wa miguu za kimataifa, kila moja akiwa na matokeo aliyoyabashiri kwa ustadi mkubwa.
Mechi zilizobashiriwa na odds zake ni pamoja na:
National Bank of Egypt SC vs Ghazl El Mahallah (X, 2.89)
Corum FK vs Amed Sportif Faaliyetler (1, 3.09)
BB Bodrumspor vs Pendikspor (X, 4.01)
Sparta Prague vs SK Sigma Olomouc (1X, 2.60)
Eyupspor vs Konyaspor (2, 3.04)
CR Vasco da Gama RJ vs Atletico Mineiro MG (1X, 1.96)
Volos Nps vs Panserraikos FC (X, 3.47)
Pharco FC vs Enppi Club (X, 2.55)
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Meridianbet imeendelea kujijengea sifa kwa kutoa jukwaa lenye odds za ushindani, rahisi kutumia na chaguzi nyingi za kubashiri. Huduma ya USSD imefungua milango kwa wachezaji wengi, ikiwapa fursa ya kushiriki bila vizuizi vya intaneti au simu za kisasa.
Kwa mshindi huyu, dau dogo la TZS 3,055/= limeweza kubadilisha maisha yake kabisa. MeridianBet inahimiza wachezaji kujaribu bahati yao, huku ikisisitiza umuhimu wa kubashiri kwa mikakati.
Zamu ijayo inaweza kuwa yako. Anza sasa kwa kupiga *149*10#, au mtandaoni kupitia meridianbet.com au app ya simu. Jiunge na maelfu ya wachezaji wanaofurahia kubashiri na uwe sehemu ya hadithi nyingine ya ushindi.