SIMBA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO MAEMA

Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho Agosti 21 2025 kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji ambaye yupo na timu kambini nchini Misri alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafanabafana kwenye CHAN 2024. Nyota huyo…

Read More

LADACK CHASAMBI KUONDOKA SIMBA SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi msimamo wake juu ya kiungo wake mshambuliaji, Ladack Chasambi kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao. Kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akaondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kwa msimu ujao ambapo inalezwa kuwa pengine anaweza kwenda KMC ama Namungo FC kwa mkopo. Benchi la ufundi…

Read More

AZAM FC YAACHANA NA KIPA MOHAMED MUSTAFA

Klabu ya Azam FC imeachana rasmi na kipa wake raia wa Sudan, Mohamed Mustafa, baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Azam FC imetoa ujumbe maalumu kuthibitisha kuachana huko, ikibainisha kuwa uhusiano huo umehitimishwa kwa amani na kwa heshima baina ya pande zote. Mustafa, ambaye alijiunga na…

Read More

WIKI YA MWANANCHI NI SEPTEMBA 12 2025

Yanga SC imeitangaza siku ya Ijumaa ya Septemba 12 2025 kuwa siku rasmi ya kilele cha wiki ya Wananchi. Hii ni siku maalum ambayo hutumiwa kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na kikosi kipya mbele ya mashabiki.  Pamoja na utambulisho huo matukio kama burudani za muziki na mechi kali ya soka hunogesha. Hili ni miongoni mwa…

Read More

MILIONEA MPYA KUTOKA MERIDIANBET, DAU DOGU, USHINDI MKUBWA

Ushindi mkubwa unaweza kuja kwa namna zisizotarajiwa, hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni. Kwa dau dogo la TZS 3,055/= amejiwekea historia kubadilisha kiasi hicho kidogo kuwa TZS 14,996,310/= Yote haya yalifanikishwa kwa urahisi kupitia USSD ya Meridianbet, ikithibitisha kuwa umakini na mikakati sahihi inaweza kubadilisha maisha. Huduma ya USSD imekuwa suluhisho rahisi kwa…

Read More