WALLACE KARIA APITISHWA TENA KUONGOZA TFF KWA ASILIMIA 100

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamempitisha kwa kishindo Rais wa sasa, Wallace Karia, baada ya kumpigia kura za ndiyo kwa asilimia 100. Karia alikuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais, kufuatia wagombea wengine kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi kwa kushindwa kutimiza vigezo vya kikanuni. Kwa ushindi huo, Karia…

Read More

AZAM FC NA WAPYA WALIOTAMBULISHWA, KAMBI RWANDA

RASMI Azam FC imewatambulisha wachezaji wapya wawili ambao watakuwa chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Azam FC itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itaanzia hatua za awali na mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa ugenini katika kusaka ushindi….

Read More