
KAPOMBE AIBEBA STARS DAKIKA ZA MWISHO, TANZANIA YAENDELEA KUONGOZA KUNDI B
Bao la dakika ya 89 lililofungwa na beki mahiri Shomari Kapombe limeipa Taifa Stars ushindi wa pili mfululizo katika Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024), baada ya kuichapa Mauritania kwa bao 1-0 katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa ulionekana kuelekea sare tasa kabla…