
YANGA SC HAWAPOI, KIUNGO WA KAZI MOHAMED DOUMBIA NDANI
YANGA SC mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 hawapoi kutokana na kasi yao kwenye utambulisho wa wachezaji wapya. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC ilitwaa taji la Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC likiwa ni taji lao la 31. Baada ya mechi 30 walikusanya jumla ya pointi 82 na safu…