
AZAM FC YAMTAMBULISHA PAPE DOUDOU DIALLO KUTOKA SENEGAL
Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape Doudou Diallo, raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 21. Mchezaji huyo ametambulishwa leo katika viunga vya Azam Complex, Chamazi. Diallo amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoendelea hadi Juni 2027, huku Azam ikieleza matumaini makubwa…