
UKUTA WA YERIKO WAVUNJIKA, CHE MALONE OUT
CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Che Malone anatajwa kupata timu nchini Algeria kwa ajili ya changamoto mpya na tayari Simba SC wamempa Thank You…