VICTOR GYÖKERES KUJIUNGA NA ARSENAL

Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon kuhusu usajili wa mshambuliaji raia wa Sweden, Victor Gyökeres, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €63.5 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni kulingana na mafanikio mbalimbali. Gyökeres (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano ambao utamweka Emirates hadi Juni 2030. Mshambuliaji huyo aliyeng’ara msimu uliopita…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA MUDATHIR YAHYA

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mkataba wake. Ilikuwa inatajwa kuwa kiungo huyo alikuwa…

Read More

MUDATHIR YAHYA ASAINI MKATABA MPYA NA YANGA SC MPAKA 2027

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kiungo Mudathir Yahya amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Mkataba wa awali wa Mudathir aliyejiunga na Wananchi mnamo Januari 2023 akitokea Azam Fc ulitamatika mwishoni mwa msimu uliomalizika lakini sasa amemwaga wino wa kuendelea kuitisha simu mitaa ya Jangwani kwa misimu miwili…

Read More

HUYU HAPA KAPEWA MAJUKUMU YA USAJILI SIMBA SC

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba SC iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo ikapeperusha bendera kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa msimu wa 2024/25 iligotea kuwa mshindi…

Read More

YANGA SC YAINGIA CHIMBO KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI

INAELEZWA kuwa baada ya Yanga SC kukamilisha usajili wa beki wa kushoto na nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25, Mohamed Hussein Zimbwe Jr wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la mshambuliaji wa kazi. Mshambuliaji huyo huenda akajiunga na Yanga SC kwa mkopo kwa makubaliano ya pande zote mbili ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…

Read More