
CHELSEA FC MABINGWA FIFA CLUB WORLD CUP 2025 MBELE YA PSG
FIFA Club World Cup 2025 mashindano haya yalianza kurindima Juni 14 na kugota mwisho Julai 13 2025 ambapo ni Chelsea kutoka England ilitwaa taji hilo mbele ya PSG kwa ushindi wa mabao 3-0 ni usiku wa kuamkia Juni 14 fainali ilichezwa. Ni mabao ya Cole Palmer ambaye alifunga mabao mawili dakika 22 na 30 mbele…