REAL MADRID VS PSG: JISHINDIE MARA MBILI UKIWEKA GG&3+

Usiku wa leo, PSG wanawakaribisha Real Madrid katika mechi ya kukata na shoka. Huku watu wengi wakitabiri kuwa huu utakuwa ni mchezo wa wazi kabisa na wenye magoli mengi. Huku kwa wewe mteja wa Meridianbet ni nafasi yako ya kuondoka na kitita cha pesa yaani unapata mara mbili ya kile ambaco ulikuwa unapata.

Bashiri na chaguo la GG&3+ yaani, timu zote mbili kufunga na mechi kuwa na magoli zaidi ya matatu – kisha jishindie bonasi ya papo hapo ukipata bashiri hiyo kwa mafanikio.

PSG wana wachezaji wenye uwezo mkubwa sana msimu huu akiwemo Ousmane Dembélé, Desire, Vitinha na wengine kibao bila kumsahau Hakimi. Huku kwa upande wa Real wao wakiwa na wachezaji kama vile Bellingham, Mbappe, Vinicius JR.

Timu zote zina wachezaji wenye uwezo mkubwa na kasi kwenda mbele hivyo bashiri mechi hii ukiongeza zako ujiweke wenye nafasi ya kushinda mara mbili zaidi. Je ni PSG au Real kwenda Fainali ya Kombe la Dunia la vilabu kukichapa dhidi ya Chelsea Jumapili?

Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 09 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya PSG vs Real Madrid lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa PSG vs Real Madrid ukimalizika 0-0

  • Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Beti hapa.