Skip to content
Saturday, June 27, 2026
  • Hii hapa ratiba ya mechi zote leo NBC Premier League
  • Hii hapa orodha ya wakali wa asissti Bongo
  • Orodha ya makipa wenye clean sheets nyingi Bongo
  • Tabasamu Zarejea Buguruni Baada ya Meridianbet Kuwafikia Wenye Mahitaji

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Hii hapa ratiba ya mechi zote leo NBC Premier League
  • Hii hapa orodha ya wakali wa asissti Bongo
  • Orodha ya makipa wenye clean sheets nyingi Bongo
  • Tabasamu Zarejea Buguruni Baada ya Meridianbet Kuwafikia Wenye Mahitaji

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • July
  • 9

July 9, 2025

  • Sports

REAL MADRID VS PSG: JISHINDIE MARA MBILI UKIWEKA GG&3+

Saleh12 months ago03 mins

Usiku wa leo, PSG wanawakaribisha Real Madrid katika mechi ya kukata na shoka. Huku watu wengi wakitabiri kuwa huu utakuwa ni mchezo wa wazi kabisa na wenye magoli mengi. Huku kwa wewe mteja wa Meridianbet ni nafasi yako ya kuondoka na kitita cha pesa yaani unapata mara mbili ya kile ambaco ulikuwa unapata. Bashiri na…

Read More
  • Sports

CHAN MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO, WACHEZAJI WAELEKEA MISRI

Saleh12 months ago01 mins

KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu. Hivyo kuelekea CHAN mambo ni moto na maandalizi yanaendelea kwa kasi ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa Uwanja wa Mkapa…

Read More
  • Sports

AIR MANULA AREJEA AZAM FC AKITOKEA SIMBA SC

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba SC ilikuwa mpaka 2025 tayari umegota mwisho. Kwa msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya Azam FC, matajiri wa Dar mpaka 2028 akitimiza majukumu yake kwenye eneo la mlinda mlango. Msimu wa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.