Meridianbet, kampuni namba moja kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inakualika kujiunga na promosheni ya kipekee ya Wild White Whale kwa mwezi mzima wa Julai 2025. Kuanzia tarehe 1 Julai hadi 31 Julai 2025, wachezaji wote waliojisajili wana nafasi ya kujipatia spins 50 za bure kila siku kwa kukamilisha spins 100 kwenye mchezo wa kasino wa kusisimua, Wild White Whale.
Kushiriki ni rahisi kabisa. Unahitaji tu akaunti halali ya Meridianbet na ucheze Wild White Whale kwa kutumia pesa uliyoideposit kwenye akaunti yako. Mara tu unapokamilisha spins 100 kwa siku, spins 50 za bure zitaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako, bila kujali iwapo umeshinda au la.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Zawadi hii ya papo hapo inawapa wachezaji fursa ya ziada za kufurahia mchezo na kushinda bila gharama ya ziada. Kila mchezaji anaweza kupokea spins hizi za bure mara moja kwa siku kwa kila akaunti.
Spins za bure hazina masharti ya kuchezwa tena, yaani, unaweza kutoa ushindi wako mara moja bila vikwazo. Meridianbet ina haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali, ili kuhakikisha uhalali na uwazi. Promosheni hii inapatikana kwa wateja waliojisajili kupitia meridianbet.co.tz au programu ya simu ya Meridianbet.
Hii ni fursa yako ya kipekee ya kupiga mbizi kwenye burudani ya Wild White Whale na kujizawadia spins 50 za bure kila siku. Jisajili au ingia sasa kwenye meridianbet.co.tz, cheza, na ufurahie wimbi la ushindi katika promosheni hii ya Julai 2025.