BABA MZAZI WA MBWANA SAMATTA AFARIKI DUNIA

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai 6, 2025. Msiba upo Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo familia, ndugu, jamaa na marafiki wamekusanyika kuomboleza msiba huo mzito. Timu ya Global TV ipo eneo la tukio na itaendelea kukuletea taarifa kamili kuhusu msiba…

Read More