Kampuni ya ubashiri inayongoza Tanzania, Meridianbet, imezindua promosheni mpya ya kusisimua kwa wapenzi wa mchezo maarufu wa Aviator. Kuanzia tarehe 1 Julai hadi 31 Julai 2025, wachezaji wana fursa ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kwa kucheza mchezo huu wa kuvutia.
Masharti ni rahisi, cheza Aviator kama kawaida wakati wa promosheni. Kila wiki, wachezaji wawili wenye bahati watashinda simu za Samsung A25. Hii inamaanisha jumla ya simu nane zitakazotolewa kwa mwezi wa Julai.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Mchezo wa Aviator unabaki kuwa wa kusisimua kama kawaida. Yaani angalia ndege ikipaa wakati faida yako inazidi kupanda, kisha “withdraw” kabla ya ndege kuanguka. Sasa kuna sababu zaidi ya kucheza, kwa kuwepo kwa tuzo hizi za kila wiki. Washindi watatangazwa kila Jumatatu wakati wa promosheni, na zawadi hizi za simu zitakabidhiwa mara moja.
Ili kushiriki, lazima uwe umefungua akaunti ya Meridianbet na kujisajili kupitia tovuti yao rasmi au programu ya simu. Promosheni hii ni kwa wateja wote wa Tanzania wanaokidhi masharti. Meridianbet ina haki ya kubadilisha au kufuta promosheni ikiwa ni lazima, huku ikiihakikisha uadilifu na uwazi wakati wote.
Pata fursa ya kufurahia mchezo wako wa pendwa na kupata nafasi ya kushinda simu hizi bora. Pakua programu ya Meridianbet au tembelea tovuti yao leo kujiunga na mchezo. Kumbuka, unavyozidi kucheza Aviator mwezi wa Julai, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyozidi kuongezeka.