
LAMEK LAWI AJIFUNGA MIAKA MIWILI KWA AZAM FC
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha beki wa kazi ambaye ni mzawa. Julai 3 2025 mabosi wa Azam FC wamemtambulisha rasmi Lamek Lawi kwa kandarasi ya miaka miwili beki huyo ambaye alikuwa chaguo la kwanza ndani ya Coastal Union…