Meridianbet imedhamiria kukupa zaidi ya ulivyotarajia. Kama unatumia Halopesa, basi kuna sababu mpya ya kuanza siku yako kwa tabasamu kwa sababu Meridianbet sasa inakupa bonus ya 20% kila unapo-deposit kupitia Halopesa Push, mara moja kwa siku. Ukituma pesa yako ya kubeti au kucheza kasino kwa njia hii, utarudishiwa hadi TZS 50,000 kila siku kama bonasi ya kukupa nguvu zaidi ya kushinda.
Sio utani. Weka tu pesa yako kupitia Halopesa, kisha tumia mara mbili hiyo pesa kwenye ubashiri wa michezo au kasino mtandaoni siku hiyo hiyo. Ikiwa utabeti michezo, unahitaji tiketi zako ziwe na jumla ya odds za 3 au zaidi, na lazima zikamilike siku hiyo hiyo. Ukicheza kasino, hakikisha unazungusha sloti zako ndani ya siku hiyo pia. Na kumbuka ukifanya cash out, unajiondoa kwenye game ya bonus.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Bonus yako ni ya kipekee na itatumika kwenye tiketi moja tu yenye mechi nne au zaidi, kila moja ikiwa na odd ya angalau 1.5. Na ukishinda kwa kutumia bonus hiyo, unaweza kujinyakulia hadi TZS 100,000. Lakini kuna sharti moja, ni lazima utumie bonus zote za siku iliyopita kabla hujapata bonus ya leo. Hii inahakikisha kila siku inakupa sababu mpya ya kucheza na kushinda zaidi.
Usikubali pesa yako ipite bila faida ya ziada. Jiunge sasa na Meridianbet Anza kuweka na kucheza kwa faida. Halopesa Push na Meridianbet ni ushindi kila siku.