
MBEBA MIKOBA YA CHAMA KWENYE MTEGO SIMBA SC
KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango chake kuporomoka mwanzo mwisho. Nyota huyo kwenye mechi za awali alianza kuonyesha ubora wake lakini kadri siku zilivyokuwa zinazidi uwezo wake ulikuwa unaporomoka. Atakumbukwa kwenye mchezo…