SIMBA SC imefika Uwanja wa Mkapa kwa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC na kikosi kimeanza namna hii:-
Moussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen Zimbwe Jr, Chamou Karaboue, Che Malone, Kagoma, Ellie Mpanzu, Fabrince Ngoma, Steven Mukwala, Jean Ahoua na Joshua Mutale
Wachezaji wa akiba ni Ally Salim, Nouma, Hamza, Okejepha, Kibu, Mavambo, Ateba, Awesu, Mashaka na Rashid.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.