KIUNGO Clatous Chama ameanzia benchi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili.
Wengine ni Mshery, Kibwana Shomari, Nondo, Farid Mussa, SureBoy, Willson, Shekhan, Ikangalombo na Mzize ambapo Yanga SC inahitaji sare ama ushindi kutwaa ubingwa.
Wachezaji wa kikosi cha kwanza ni Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Khalid Aucho, Maxi Nzengeli, Prince Dube, Pacome, Mudathir Yahya, Duke Abuya.
Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza, Yanga SC ilivuna pointi tatu mbele ya Simba SC Uwanja wa Mkapa kwa ushindi wa bao 1-0 lakujifunga Kelvin Kijili.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.