
TAARIFA YA SIMBA SC KUWASHUKURU MASHABIKI YASHTUA, JUNI 25 YANGA SC VS SIMBA SC
TAARIFA kutoka Simba SC kuwashukuru mashabiki wake kwa ushirikiano ndani ya msimu wa 2024/25 imeshtua huku wakikaa kimya kuzungumzia mchezo wao wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC. Simba SC ina kibarua cha kucheza mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Mkapa. Juni 24 2025, Simba SC hawakutokea kwenye mkutano wa mwisho…