
June 24, 2025


MASTAA HAWA WALIVAA KITAMBAA CHA UNAHODHA MCHEZO MMOJA
KWENYE mchezo wa mwisho kwa Simba SC msimu wa 2024/25 wakiwa Uwanja wa nyumbani, KMC Complex, Juni 22 2025 kitambaa cha unahodha kilitembea katika mikono ya kutosha wachezaji wakibadilishana kutokana na sababu mbalimbali. Ikumbukwe kwamba ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids nahodha mkuu ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye…

MATAIFA MATATU KUAMUA KARIAKOO DABI, SHEREHE ZA UBINGWA JUNI 25
JUNI 25 2025 sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zinatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi, Yanga SC vs Simba SC kutamatika. Kwa mujibu wa Karim Boimanda, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) ameweka wazi kuwa mara baada ya mchezo huo kutamatika kutakuwa na sherehe za…