HIZI HAPA MECHI ZA FUNGA KAZI JUNI 22

LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora inatarajiwa kugota mwisho Juni 22 kwa mechi za raundi ya 30 kupigwa kwenye viwanja 8 tofautitofauti.

Mechi zote 8 zitaonyeshwa mubashara Azam TV kuanzia saa 10:00 ambapo mechi zote zonatarajiwa kuonyeshwa na JKT Tanzania watakuwa kwenye Sinema Zetu.

Hii hapa ratiba ya Juni 22 2025 ipo namna hii:-Mashujaa vs JKT Tanzania.

Pamba SC vs KMC FC

Simba SC vs Kagera Sugar Uwanja wa KMC Complex.

Namungo FC vs KenGold, Uwanja wa Majaliwa.

Singida Black Stars vs Tanzania Prisons, Uwanja wa Liti.

Yanga SC vs Dodoma Jiji, Uwanja wa New Amaan.

Coastal Union vs Tabora United, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Fountain Gate vs Azam FC, Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa.

Mechi zote kupigwa saa 10:00 jioni, kiporo cha Yanga SC vs Simba SC itakuwa Juni 25 2025, Uwanja wa Mkapa.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.