SIMBA SC, YANGA SC KAZINI SAA 10:00 JIONI LIGI KUU BARA

MZUNGUKO wa pili unakwenda kugota mwisho ambapo timu nyingi zimebakiwa na mechi mbili huku Simba SC na Yanga SC zikiwa zimesaliwa na mechi tatu.

Mchezo mmoja ni Yanga SC vs Simba ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 25 2025, Uwanja wa Mkapa. Leo Juni 18 2025 timu zote zitakuwa uwanjani saa 10:00 kusaka pointi tatu. Hii hapa ratiba:-

Pamba Jiji vs JKT Tanzania, Uwanja wa CCM Kirumba.

Namungo FC vs Kagera Sugar, Uwanja wa Majaliwa.

Dodoma Jiji vs Singida Black Stars, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Mashujaa FC vs KMC FC, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

KenGold vs Simba SC, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Tanzania Prisons vs Yanga SC, Uwanja wa Sokoine.

Azam FC vs Tanora United, Uwanja wa Azam Complex.

Coastal Union vs Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.