REAL MADRID VS AL HILAL – MECHI YA MOTO LEO HII! PATA BONASI YA HADI TZS 60,000

Real Madrid vs Al Hilal ni mechi kali leo hii ya kutazama lakini huku ukiwa unaitazama inakupa pesa. Bashiri na GG&3+ mtanange huu ujiweke kwenye nafasi ya kupata bonasi hadi shlingi 60000 leo.

Meridianbet wanasema hivi ni rahisi sana leo hii kujinyakulia bonasi ya kibabe ya eldu 60000 endapo utasuka jamvi lako hapa na kubashiri mechi ya Real Madrid vs Al Hilal ya kule Saudi Arabia. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa Real akiwa na ODDS 1.37 kwa 7.40. Suka jamvi hapa.

Alonso na vijana wake wanahitaji kushinda taji hili lenye thamani kubwa baada za kumaliza msimu wakiwa hawajapata Kombe kwenye michuano yote. Pia klabu hiyo ambao ndio mabingwa mara nyingi wa UEFA wamefanya ongezeko la wachezaji akiwemo Trent na wengine.

Al Hilal ambao wanakipiga katika ligi kuu ya Saud Arabia nao wanataka kuonesha uwezo wao dhidi ya Real. Timu hii ilichukua ubingwa wa ligi kule kwao msimu uliopita ambapo msimu huu mambo yakawa magumu kwa upande wao.

Meridianbet wamemua wasikuache hivi hivi wamekuja na promosheni kali sana ambayo unaweza ukashinda mara mbili zaidi ya kile ambacho ulikuwa unakitarajia ukibashiri mechi ya Real Madrid dhidi ya Al Hilal.

Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 18 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid vs Al Hilal kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya Real Madrid vs Al Hilal  kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Al Hilal   lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa Real Madrid vs Al Hilal ukimalizika 0-0

  • Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.