Kampuni namba moja kwa michezo ya kubashiri pamoja na kasino mtandaoni nchini Tanzania, Meridianbet, imekuja na promosheni bab kubwa inayowapa wateja wake nafasi ya kipekee ya kujishindia zawadi murua ya simu mpya aina ya Samsung A25 kila siku ya Jumatatu kwa mwezi wa Juni, 2025 kwa kushiriki mchezo wa Super Heli.
Meridianbet wameipa promosheni hii jina la “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25″, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kuhakikisha inawathamini na kuwazawadia wateja wao kwa uaminifu na ushiriki wao wa kila siku.
“Tunatambua mchango mkubwa wa wateja wetu, na kwa kupitia promosheni hii tunatoa shukrani zetu kwa njia ya zawadi zenye thamani,” alisema Afisa Masoko wa Meridianbet.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Namna Ya Kushiriki
-Jisajili au ingia kwenye akaunti yako kupitia www.meridianbet.co.tz au app ya Meridianbet.
-Hakikisha una akaunti halali na umeingia ndani ya kipindi cha promosheni. Yaani kuanzia tarehe 01 hadi 30 Juni 2025.
-Kila mshiriki wa mchezo wa Super Heli anayo nafasi ya kujishindia simu hii ya kisasa
Zawadi Zinazotoka
-Kila Jumatatu ya mwezi Juni, washindi wawili (02) watajinyakulia simu mpya za kisasa aina ya Samsung A25.
-Kwa mwezi mzima, jumla ya washindi 8 wa simu watatangazwa.
Masharti Muhimu
-Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajili akaunti zao nchini Tanzania.
-Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii muda wowote bila taarifa ya awali.
-Masharti ya kawaida ya bonasi na matumizi ya Meridianbet yataendelea kutumika.
Usikose fursa hii adhimu ya kumiliki simu ya kisasa ya Samsung A25 kutoka Meridianbet kwa kucheza Super Heli kila siku.