KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA KENGOLD

Hiki hapa kikosi cha Simba SC dhidi ya KenGold mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi:-

Moussa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussen, Chamou, Che Malone, Yusuph Kagoma.

Kibu Dennis, Mavambo, Leonel Ateba, Jean Ahoua, Ellie Mpanzu. Akiba ni Ally Salim, Duchu, Nouma, Okejapha, Ngoma, Mutale, Mukwala, Awesu, Alex, Bashir.

Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Juni 18 2025, saa 10:00 jioni kwa wababe hawa wawili kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.