KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA TABORA UNITED

Kikosi cha Azam FC dhidi ya Tabora United, mzunguko wa pili Juni 18 2025 Uwanja wa Azam Complex saa 10:00 jioni kipo namna hii:-

Zuberi Foba, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Yoro Diaby, Yeison Fuentes.

Yahya Zayd, Idd Nado, Sopu, Nassor Sasdun, Fei Toto na Gibril Sillah.

Wachezaji wa akiba ni : Hamis, Chilambo, Zouzou, Samake, Tepsie, Ally, Tiesse, Zidane, Kibeku, Diakite.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.