BASHIRI GG & 3+ MECHI YA RIVER PLATE VS URAWA REDS UFAIDIKE MARA 2 ZAIDI

 Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake nafasi za kipekee kushinda zaidi kupitia chaguo lae la GG&3+ na utapata mara mbili zaidi.

Katika mechi kali ya River Plate vs Urawa Red, bashiri ya GG & 3+ ndiyo tiketi yako ya ushindi maradufu. Bashiri kuwa timu zote zitafunga (GG) na kutakuwa na zaidi ya magoli matatu (3+) na ujinyakulie ushindi wa kuvutia mara mbili ya dau lako!

Mpaka sasa timu nyingi zinaonesha ubabe wa hali ya juu na nafasi ya wewe kujishindia bonasi ni kubwa sana. Beti timu zako za ushindi hapa na wakali wa ubashiri ambapo hii ni fursa pekee ya siku ya leo.

Meridianbet wamemua wasikuache hivi hivi wamekuja na promosheni kali sana ambayo unaweza ukashinda mara mbili zaidi ya kile ambacho ulikuwa unakitarajia ukibashiri mechi ya River Plate kutoka Argentina dhidi ya Urawa Reds kutoka kule Japan.

Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 17 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa River Plate vs Urawa Reds kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya River Plate vs Urawa Reds kwa chaguo la GG&3+ atapata si chini ya bonasi ya shilingi 10000TZS.

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya River Plate vs Urawa Reds lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa River Plate vs Urawa Reds ukimalizika 0-0

  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.