Meridianbet waja na Samsung A25 Ukicheza Super Heli

Meridianbet imeamua kukuletea furaha kwa zawadi kubwa za simu aina ya Samsung A25 kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kupitia mchezo wa Super Heli, moja kati ya mchezo unaokimbiza sana mjini huku sifa yake kubwa ikiwa ni kutoa washindi wengi kwa haraka sana. Cheza Super Heli kupitia Meridianbet.

Ofa hii kutoka Meridianbet imeanza June 01, na inategemea kutamatika June 30 huku simu mbili zikigawiwa kila siku ya Jumatatu ingawa zawadi hizi zitakua zikitolewa kwa washiriki waliojisajili kupitia Meridianbet.

Mbali na kujishindia simu mpya kabisa lakini pia unatengeneza kipato kikubwa kwa kushiriki mchezo huu, yaani kwa kifupi unapiga ndege wawili kwa jiwe moja.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Sifa pekee ya Super Heli ni kusafiri kwa muda mrefu bila ndege kuanguka, kwa wachezaji wa Aviator watakuwa wanaelewa kuhusu suala la ndege kupaa umbali mrefu na faida yake. Yaani ni kwamba unakuwa unakusanya odds nyingi kila ndege inavyozidi kupaa, odds ambazo zinakufanya kukusanya kiwango kikubwa cha pesa.

Kasino ya Mtandaoni ya Super Heli inakupa nafasi kubwa Zaidi ya kushinda na kuwa tajiri, huku dau lake likiwa ni kiasi chochote kile hata kama ni kidogo na nafasi ya kutengeneza utajiri kupitia kiwango hiki kidogo cha pesa ikiwa kubwa.

Kuwa bingwa kwa kucheza Super Heli na Meridianbet uwe sehemu ya gawio la simu hizi mpya na za kisasa za Samsung A25.