Meridianbet imezindua ofa mpya ya kuwapa wateja wao thamani zaidi kwa miamala ya kila siku inayofanywa kupitia M-Pesa Push. Kuanzia sasa, wateja wote wanaoweka pesa kupitia M-Pesa Push watapokea bonus ya 20% ya kiasi walichoweka kwa mara ya kwanza kila siku. Ofa hii itawapa wateja hadi shilingi 50,000 kwa siku na itadumu hadi Desemba 31, 2025.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Ili kustahiki bonus hii, mteja anatakiwa kuweka pesa kupitia M-Pesa Push na kutumia kiasi hicho mara mbili katika kubashiri michezo au kucheza kasino mtandaoni siku hiyo hiyo. Kwa wale wanaochagua kubashiri michezo, tiketi zinazokubalika ni zile zinazomalizika ndani ya siku hiyo na zenye odds za jumla za 3 au zaidi. Tiketi zilizofanyiwa cash out hazitahesabika katika mahitaji ya rollover. Kwa upande wa kasino mtandaoni, michezo ya sloti iliyochezwa siku hiyo hiyo ya kuweka pesa itahesabiwa.
Bonus hiyo inaweza kutumika kwenye tiketi za mechi nne tu, na kila mechi inapaswa kuwa na odd ya 1.5 au zaidi. Malipo ya juu zaidi kwa kila tiketi inayotumia bonus yatakuwa shilingi 100,000.
Mteja atapokea bonus kwa kiwango cha kwanza cha muamala kila siku pekee, na ni sharti awe ametumia bonus zote za awali kabla ya kupokea bonus mpya. Tumia Meridianbet na M-Pesa Push leo ili upate faida zaidi kutokana na pesa zako.