DAU DOGO SHINDA MAMIA YA EURO NA SPIN-O-MANIA

Meridianbet inakukaribisha kujichukulia Mamia ya Euro kwenye promosheni kali ya Spin-O-Mania ambayo inaendelea hivi sasa. Huhitaji dau kubwa kushiriki kwenye shindano hili la dhahabu ambalo litakupa ushindi mkubwa leo.

Mashindano haya ya Spin-O-Mania yalianza toka tarehe 05 mwezi Juni na mwisho itakuwa ni tarehe 29 Juni ambapo zawadi na pesa zitakbidhiwa kwenye akaunti za wachezaji kama fedha zinazoweza kutolewa ndani ya masaa 48, zawadi itakabidhiwa kwenye beti isiyo na ushindi iliyofanywa baada ya mwisho wa shindano.

Lakini unaweza ukawa ujiuliza Spin-O-Mania ni nini? Spin-O-Mania ni mashindano ya kasino ya mtandaoni yaliyoandaliwa na kampuni ya kutengeneza michezo ya kasino iitwayo Gamzix. Mashindano haya yameundwa kwa ajili ya wachezaji wanaopenda michezo ya sloti (slot games) na yanatoa zawadi halisi kila wiki kwa mwaka mzima.

Vilevile mashindano haya ya Spin-O-Mania, ni ya kipekee ambayo yatadumu kwa mwaka mzima yakiwa na jumla ya zawadi ya kuvutia hadi Euro 1000,000.

NB: Unaweza ukajisajili na Meridianbet na kucheza michezo mingine ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Masshindano haya yameletwa ili kuleta burudani na zawadi kwa wachezaji wa viwango vyote  ambapo zawadi ya jumla itakuwa ni Euro 1000,000 kwa mwaka.

Zawadi kwa kila hatua itakuwa ni Euro 15,000 hadi Euro 30,000, huku wachezaji 150 wa juu hushinda kila wiki. Mizunguko ambayo inahesabika inatakiwa iwe angalau 100 kwa kila raundi.

Mteja wa Meridianbet kumbuka kuwa kadri unavyozungusha gurudumu lako mara nyingi ndivyo ambavvyo unajiweka kwenye nafasi ya kuwa Milionea kwa sasa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kutimiza ndoto zako.

Michezo itakauoshiriki kwenye Promo hii ni pamoja na Coin Win, Hold The Spin, Sticky Coin, Book of Zulu, Tiger Pot, na Ultra Luck ambapo kwa uhakika kabisa ukicheza moja wapo ya hiyo michezo nafasi ya wewe kuwa bingwa n kubwa sana.

JINSI YA KUSHINDA

Kila mzunguko wa ushindi unauzidisha ambao urtakupa pointi kwenye mashindano. Wachezaji walio na pointi nyingi zaidi kila wiki watajipatia sehemu ya zawadi ya pesa taslimu, bila ya kuwa na masharti ya kubeti tena.

FAIDA KWA WACHEZAJI

  • Zawadi halisi bila ya mahitaji ya kubeti
  • Mashindano ya kila wiki kwa mwaka mzima
  • Michezo ya kisasa na burudani ya hali ya juu
  • Zawadi zinakaa moja kwa moja kwenye akaunti yako

Meridianbet inakusisitiza kuwa huu sio wakati wa kupotezea fursa ya kibabe kama hiyo mwezi huu Juni Spin-O-Mania inakupa nafasi yako ya kugeuza mizunguko yako ya kila siku kuwa zawadi halisi. Jiunge sasa na wababe hawa wa Odds kubwa Tanzania na uweze kujishindia mkwanja huu. Jisajili hapa.