Skip to content
June 5, 2025
  • BEKI ALIYEACHWA YANGA APATA BONGE LA DILI, ATIMKA ZAKE
  • SALEH JEMBE AWABEBESHA ZIGO LA LAWAMA YANGA ISHU YA DERBY – ”WAO NDIYO WAMESABABISHA” – VIDEO
  • WAZEE WA YANGA WATOA TAMKO, WAPINGA MCHEZO WA DERBY JUNI 15 – VIDEO
  • ZOMBIE APOCALYPSE KUTOKA MERIDIANBET IMEKUJA NA OFA KABAMBE

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • June
  • 5

June 5, 2025

  • Sports

BEKI ALIYEACHWA YANGA APATA BONGE LA DILI, ATIMKA ZAKE

Saleh35 minutes ago01 mins

ALIYEKUWA beki wa kati wa Yanga, Gift Fred anakaribia kujiunga na Klabu ya KCCA ya nchini Uganda katika msimu ujao. Gift anakwenda kujiunga na KCCA kama mchezaji huru baada ya mkataba wake wa mkopo St George ya nchini Ethiopia kumalizika. Yanga ndiyo iliyompeleka beki huyo kwa mkopo St George katika msimu wa 2024-2024 baada ya…

Read More
  • Sports

SALEH JEMBE AWABEBESHA ZIGO LA LAWAMA YANGA ISHU YA DERBY – ”WAO NDIYO WAMESABABISHA” – VIDEO

Saleh37 minutes ago01 mins

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe amefunguka na kueleza kuwa waliosababisha hili jambo ni klabu ya Yanga SC isingekuwa wao kuwazuia Simba SC basi tusingefika huku.  

Read More
  • Sports

WAZEE WA YANGA WATOA TAMKO, WAPINGA MCHEZO WA DERBY JUNI 15 – VIDEO

Saleh39 minutes ago03 mins

Dar es Salaam – Wazee na Wenyeviti wa Matawi wa Klabu ya Yanga leo Juni 5, 2025 wamejitokeza hadharani makao makuu ya Klabu hiyo na kutoa tamko rasmi wakipinga vikali ushiriki wa klabu hiyo katika mchezo wa watani wa jadi (derby) uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Kupitia…

Read More
  • Sports

ZOMBIE APOCALYPSE KUTOKA MERIDIANBET IMEKUJA NA OFA KABAMBE

Saleh9 hours ago41 minutes ago02 mins

Katika kuendelea kutoa furaha na faida kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse wamezindua ofa kabambe kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse. Ofa hii maalum inakupa nafasi ya kipekee, ukicheza mizunguko 100 leo, unapata mizunguko 50 ya bure kesho. Hii ni zawadi ya kipekee kwa wale wote wanaotafuta burudani yenye thamani. Zombie Apocalypse…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.