SAMSUNG A25 NI YAKO! ANZA SAFARI YAKO KWA JISAJILI NA KUCHEZA

Meridianbet mwezi huu wa 6 imekuletea promosheni kubwa za Kasino ambazo zitakufanya ujizolee zawadi kabambe ikiwemo Samsung A25. Usisubiri kuhadithiwa tazama vigezo na masharti unafike na promosheni hii.

Promosheni hii imeanza siku ya jana ya tarehe 1 mwezi Juni na itatamatika tarehe 30 mwezi Juni mwaka huu huku nafasi ya wewe kuweza kushinda simu ikiwa juu zaidi kwani unachotakiwa kufanya ni kucheza kasino au kubashiri mechi mbalimbali.

Muda sio rafiki sana kwani zimebaki siku 26 pekee za wewe kuchukua simu yako janja bure kabisa kwani kwa dau lako lolote ambalo utakuwa unaweka na kucheza ndilo litakalokufanya uibuke bingwa kwa sasa.

Unachotakiwa kufanya ni kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet mara moja na kuanza kucheza michezo yako yoyote ya Kasino kwani hakuna kikomo cha michezo ya kucheza, na kwenye kubashiri pia ni mechi za mpira wa miguu na zingine nyingi ambazo utataka kubashiri, kikapu, tennis nk.

Meridianbet imekuletea promosheni nyingine ya kujisajili, kuweka pesa na kucheza kasino au Sport ili ushinde Samsung A25. Vilevile  unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Je unajua ni jinsi gani utaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi?. Jambo ni moja tuu, cheza mara nyingi Kasino na Sport ujiweke kwenye nafasi ya kuwa mshindi hapa. Kwenye Kasino michezo mizuri ipo mingi sana kuna Aviator, Superheli, Zombie Apocalypse, Roulette, Keno na mingine mingi.

Wakali hawa wa ubashiri Meridianbet wananasisitiza kuwa tiketi za turbo Cash hazitahesabiwa kwenye promosheni hii, yaani kama umesuka jamvi lako halafu ukacash out pesa hiyo tiketi yako haiwezi kuhesabiwa kwenye tiketi za washindi hivyo inabidi usubiri mpaka mechi ulizobeti zote ziishe.

Zawadi hizi za Samsung A25 zipo nyingi na zipo kwaajili yako, usipitwe na ofa hii ndani ya mwezi Juni kwani Meridianbet ipo kwaajili ya kuhakikisha huondoki Kapa. Jisajili na weka dau lako uanze kushindania simu sasa. Huenda leo ikawa ndio bahati yako.