BOSI YANGA ASISITIZA KUTOCHEZA KARIAKOO DABI

UONGOZI wa Yanga umeibuka na kusisitiza kuwa hawatacheza mchezo wa Kariakoo Dabi uliopangwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu dhidi ya Simba . Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe alisema kuwa wao wanachojua wamebakisha michezo miwili ya Ligi Kuu Bara na siyo mitatu . “Akili yetu imejikita kwenye kuzimaliza kwa kishindo mechi zetu…

Read More

UJANJA NI KUCHEZA KASINO YA MTANDAONI

Chaguo ni lako kukamilisha ndoto zako kwa njia ya rahisi, kazi ya Meridianbet kasino ya mtandaoni ni kukuletea michezo mingi na sloti za kijanja ambazo zinakupa urahisi wa wewe kucheza na kushinda. Ukiachilia mbali bonasi, ofa, odds kubwa na promosheni kedekede, kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa Mini Power Roulette uliotengenezwa na Expanse Studios. Roulette…

Read More