Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, kama unataka kushinda Samsung A25 mpya kupitia kwenye promosheni yao mpya ya mwezi Juni unatakiwa kucheza mchezo pendwa wa kasino wa Superheli leo.
Je unajua Superheli ni nini? Superheli ni mchezo mojawapo wa Kasino ambao unapatikana Meridianbet ambao una mandhari ya helikopta ambao ukiweka dau lako na kucheza mchezo huu unaweza kupata bonasi za bure pamoja na beti za bure.
Fursa hii imekuja kipindi kizuri kabisa ambacho ligi kubwa Duniani zimesiha hivyo kupitia Superheli unaweza kutusua zawadi kibao ikiwemo Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa ndani ya mwezi huu wa 6 ambapo promosheni hii imeanza tarehe 1 na mwisho wake ni tarehe 30 mwezi huu.
Kushiriki kwenye promosheni hii lazima uwe mteja ambaye umejisajili na Meridianbet kwenye tovuti na kwenye program za simu ambapo utachagua wewe ucheza Superheli kwenye nini. Au kama hujajisajili bado unatakiwa kufanya mara moja ili uwe moja ya washiriki na washindi.
Weka dau lako dogo tuu na uzidi kupaa angani kusaka ushindi mkubwa zaidi na hatimaye mwisho wa siku ujiondokee zako na Samsung A25 mpya kabisa. Unaweza kubashiri pia mechi zinazoendelea Duniani. Jisajili hapa.
Tofauti na promosheni hii ya Superheli pia unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.
Huku promosheni ikiwa inaendelea basi wakali wa ubashiri wao wametenga siku ya Jumatatu kuwa ni siku ya kutoa zawadi mbili za simu kwa washindi ambao watakuwa wameshinda.
Je unajua ili ushinde simu hizo unatakiwa kufanyaje? Siri ni kucheza mara nyingi kadri uwezavyo ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuondoka na Samsung A25.
Cheza mara nyingi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kuibuka na maokoto kwenye promosheni hii. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.