Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara, Steven Mguto Amezungumza mara baada mchezo ligi kuu kumalizika kwenye uwanja kcm complex kati Simba dhidi Singida black star Mnyama akiondoka na alama tatu .
Mguto Amesema wao kama bodi ya ligi kuu wameshapanga ratiba ya kumalizika Kwa msimu 2024/2025 na mchezo dabi Kariakoo ukiwepo utakao chezwa June 15.