
AZIZ KI AMEANZA KAZI NA TIMU MPYA
KIUNGO mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca, Aziz Ki tayari ameanza mazoezi na timu hiyo mara baada ya kumtambulisha. Ikumbukwe kwamba Ki aliibuka ndani ya timu hiyo akitokea kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Mchezo wa mwisho akiwa na uzi wa Yanga SC ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania ambao…