
SIMBA SC KUINGIA KWA MKAKATI KUWAKABILI RS BERKANE MEI 25 2025
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids hesabu kubwa ni kuingia kwa mkakati kuwakabili wapinzani wao RS Berkane kwenye mchezo wa fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika. Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo uliopita walipoteza ila mchezo wa pili kwa…