TANZIA: BABA WA CEO AZAM FC ATANGULIA MBELE ZA HAKI

MTENDAJI Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin, maarufu kwa jina la Popat baba yake mzazi ametangulia mbele za haki Mei 23 2025. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza namna hii: Asalaam Aleykum wa Rahmatullahi wa Barakatuhu! “Kwa masikitiko makubwa, Azam FC inatangaza kifo baba mzazi wa Mtendaji wetu Mkuu (CEO), Abdulkarim Amin ‘Popat’, Mzee MohamedAmin…

Read More

YANGA SC WANAUTAKA UBINGWA WAO

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kutwaa taji hilo kwa mara nyingine kutokana na uimara wa kikosi walichonacho. Yanga SC imeandika rekodi ya kutinga fainali ya CRDB Federation Cup mara tano ikiwa ni timu ambayo imekuwa kwenye mwendelezo mzuri katika kuandika rekodi kali ambazo bado hazijavunjwa. Ipo wazi…

Read More