VIDEO: RICARDO MOMO NA SAKATA LA KARIAKOO DABI

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Ricardo Momo ameweka wazi kuwa kuhusu Kariakoo Dabi sheria ifuatwe tu kutokana na yale ambayo yalitokea. Huku akibainisha kuwa kulikuwa na malalamiko kutoka Simba SC ambao nao walibainisha kuwa hawatacheza mechi zao zote majibu yanapaswa kupatiwa na bodi ya ligi taarifa yao iliyotolewa na Yanga SC nao wana malalamiko hivyo majibu yanapaswa yapatikane.