
SIMBA SC KAMILI KUWAVAA RS BERKANE MEI 17 2025
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa Mei 17 2025. Tarai kikosi cha Simba SC kipo nchini Morocco kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo na ule wa pili unatarajiwa kuchezwa Tanzania. Awali mchezo wa fainali ya…